Mr blue tanzania biography of george

  • Mr blue tanzania biography of george
  • Mr blue tanzania biography of george michael!

    Mr. Blue

    Khery Sameer Rajab (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Mr.

    Mr blue tanzania biography of george

  • Mr blue tanzania biography of george hamilton
  • Mr blue tanzania biography of george michael
  • Ben pol - nikikupata
  • Wasanii 10 bora tanzania
  • Blue; amezaliwa 14 Aprili) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

    Alifanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa huku akipendwa na wapenzi na mashabiki wa muziki wake, mara tu baada ya kuingia katika fani ya muziki na wimbo wake 'Mr Blue'.

    Ambapo baadaye ikaja kuwa kama ndiyo jina lake la kisanii.

    Mr Blue alikuwa gumzo kabla ya kuja kupata umaarufu zaidi na wimbo wake wa 'Mapozi', ambao ndiyo uliomzidishia kupendwa kutokana na mpangilio wa mashairi na sauti aliyotumia pamoja na maujanja ya ala ya muziki wenyewe.

    Maisha ya awali

    Mr Blue alizaliwa 14 Aprili mwaka , ni mtoto wa tatu kati ya wanne kwa kuzaliwa katika familia ya mzee Sameer Alhaji Alhad Ally mwenye asili ya Ki-Sudan.

    Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya Gerezani ambako alihitimu mwaka , lakini hakuweza kumaliza elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, ambako aliishia